Ticker

6/recent/ticker-posts

Tatizo la kuwashwa kwenye uume



 UUME

• • • • • •

Tatizo la kuwashwa kwenye uume


Tatizo hili huwasumbua Wanaume wengi, bila kujua chanzo chake na cha kufanya.


Na miwasho hii huweza kusambaa mpaka sehemu ya korodani


CHANZO cha tatizo la Kuwashwa kwenye Uume


Sababu kubwa ya tatizo hili la miwasho kwenye uume ni maambukizi ya Fangasi ambapo kwa kitaalam hujulikana kama Candidiasis au Male Yeast Infection.


Jamii hii ya Fangasi wa CANDIDA ALBICANS hushambulia sana eneo la Sehemu za siri kwa Wanawake na Wanaume pia


DALILI ZA MAAMBUKIZI HAYA 


- miwasho kwenye uume


- miwasho kuzunguka eneo lote la korodani na ngozi yake


- ngozi ya korodani kuwa nyekundu zaidi


- kupata miwasho ukeni kwa wanawake


- kutokuwa na uchafu ukeni kama maziwa mgando 


- kuwa michubuko pamoja na vidonda sehemu za siri


EPUKA MAMBO HAYA


- kuvaa nguo za ndani ambazo hazijakauka vizuri au zenye unyevu unyevu


- Kuvaa nguo za ndani zenye material ya mpira hasa wakati wa joto kali na jua kali


- N.k


MATIBABU YA SHIDA HII


Tatizo hili hutibika kwa kutumia dawa mbali mbali za Fangasi kama vile; Clotrimazole Cream N.k


Hivo ongea na wataalam wa afya kwa ajili ya msaada wa kimatibabu, kama una tatizo hili.


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.






Post a Comment

0 Comments