MAFUA
• • • •
TATIZO LA MAFUA AMBAYO HAYAISHI
Tatizo la mafua hutokea kwa kila mtu, japo kuna baadhi ya watu tatizo hili limekuwa la muda wote hali ambayo hupelekea madhara mengine kama vile;
- Maumivu makali ya kichwa
- Joto la mwili kupanda au mtu kuwa na homa
- Mwili kutetemeka au chills
- Mtu kukosa hamu ya kula chakula
- Mtu kutoa jasho sana
- Mwili kuchoka sana
n.k
UKIONA DALILI HIZI HAPA CHINI LAZIMA UKUTANE NA WATAALAM WA AFYA KWA AJILI YA TIBA
• Mtu kushindwa kupumua na kukosa hewa
• kupata maumivu makali ya kifua
• Kupata kizunguzungu kikali
• Mwili kutetemeka au seizures
• Mwili kudhoifika na misuli ya mwili kukosa nguvu
• Kupata dalili zote za kuishiwa na maji ya mwili kama ngozi kukakamaa,n.k
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!