SONONA
• • • • • •
UGONJWA WA SONONA au Depression(MFADHAIKO) maana yake na Dalili zake
Ugonjwa wa Sonona ni tatizo ambalo huhusisha mtu kuwa na huzuni kuu hali ambayo humpelekea kukosa furaha,kukata tamaa,n.k
Kumbuka; Msongo wa mawazo ambao umepita kiasi husababisha mtu kuingia kwenye tatizo la Sonona
DALILI ZA UGONJWA WA SONONA NI ZIPI?
✓ Mtu kukosa usingizi kabsa
✓ Mtu kupata huzuni kuu moyoni
✓ Mtu kupata mfadhaiko wa moyo
✓ Mtu kushindwa kufanya kazi zake za kila siku wakati haumwi
✓ Mtu kujitenga sana na watu
✓ Mtu kulala sana kuliko kawaida
✓ Mtu kukosa kabsa hamu ya kula chakula
✓ Mtu kupungua sana uzito kwa kasi
✓ Au uzito kuongezeka kwa kasi zaidi
✓ Mtu kutokujiamini
✓ Mtu kuhisi kudharauliwa kila mara
✓ Mwili kuchoka kupita kiasi
✓ Mtu kutamani kujiua
✓ Mtu kujiona sio wathamani kabsa
N.K
Kujua zaidi Kuhusu UGONJWA WA SONONA(DEPRESSION AU MFADHAIKO) soma hapa
- KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!