Kula TUFAA maarufu kama APPLE husaidia Kupunguza LEHEMU AU CHOLESTEROL mwilini

  APPLE

• • • • • •

Kula TUFAA maarufu kama APPLE husaidia Kupunguza LEHEMU AU CHOLESTEROL mwilini


Tafiti za sayansi ya Lishe zinaonyesha kula TUFAA ( Apple ) husaidia kupunguza kiwango cha Lehemu mbaya (Cholesterol ) mwilini hadi kwa 23%.


Lehemu mbaya hurundikana na kuziba mishipa ya damu na kuchangia  magonjwa ya Moyo na Kiharusi.


Hivo matumizi ya apple au Tufaa husaidia katika eneo hilo mbali na faida zingine za apple


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA JUU YA TATIZO LOLOTE LILE TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.



0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!