KULEGEA KWA UKE BAADA YA KUZAA

 UKE

• • • • •

KULEGEA KWA UKE BAADA YA KUZAA


Ubora wa Uke Unabadilika Kadiri ya Muda na Umri


Fahamu kwamba vitu viwili vikubwa vinavyoathiri ubora na uwezo wa kunanuka na kusinyaa kwa uke ni umri na mara ngapi umezaa watoto. Kufanya ngono mara kwa mara na kubadilisha wanaume siyo tatizo na haviathiri uke wako.


 Kadiri unavozaa zaidi ndivyo misuli ya uke huchoka na kulegea, wanawake waliozaa zaidi ya mara moja huchoka zaidi. Umri pia kadiri unavosonga ndivyo uke huchoka zaidi hatakama uliwahi kujifunguaama laa.


Kulegea Kwa Uke Kutokana na Umri


Unapofikia umri kuanzia miaka ya 40 utaanza kuona mabadiliko. Hii ni kutokana na kupungua kwa uzalishaji wa homoni ya estrogen pale unapokaribia Utaanza kupata dalili kama


Uke kusinyaa na  kuwa mdogo


Kukauka kwa uke


Kupungua kwa tindikali kwenye uke


Uwezo wa kutanuka kupungua


Kulegea kwa Uke Kutokana na Kuzaa


Soma: Tatizo la Uke kujamba,Chanzo na Tiba


Ni kawaida kwa uke kulegea na kupungua ubora wake baada ya kujifungua. Hii inatokana na misuli ya uke kunanuka sana ili kuruhusu mtoto kupita. Baada ya kujifungua utagundua kwamba uke umebadilika kuliko ulivyokuwa mwanzo. Usipate shaka maana hii ni hali ya kawaida kabisa kwa mwanamke lakini isichukue muda mrefu, maaan uke unatakiwa urudi katika ubora wake baada ya miezi kadhaa. Japo haitarudi 100% kama shape ya mwanzo. Kama umejifungua mara nyingi zaidi basi uke utakuwa umetanuka zaidi na kupoteza lastiki yake kwa kiasi kikubwa. Najua hii ni habari mbaya kwa wengi lakini usipate shaka nitakuelekeza mazoezi ya kufanya pamoja na virutubisho vya kutumia ili kukaza uke na   kurudi kama zamani.


Jinsi ya Kukaza Misuli ya Uke Iliyolegea Kupitia Mazoezi ya Nyonga


Mazoezi ya nyonga ni njia nzuri na salama ya kukaza misuli ya uke inayoitwa(pelvic floor muscles). Misuli hii inasaidia kuweka sapoti kwenye


Kibofu cha mkojo


Kwenye eneo la haja kubwa


Utumbo mdogo na


Mfuko wa mimba (uterus)


Misuli ya pelvic floor inapolegea kutokana na umri kwenda ama kuzaa: basi utaanza kupata dalili kama


Kuponyoka kwa mkojo pasipo na hiyari yako


Kujiskia hali ya kukojoa mara kwa mara


Kupata maumivu ya nyonga na


Maumivu wakati wa tendo la ndoa


Mazoezi ya pelvic floor yanaweza kukusaidia kwa kesi za kurudisha ubora wa uke, lakini kama unashindwa kudhibiti mkojo mara kwa mara na kuvuja basi hakikisha unapata vipimo maana yaweza kuwa una shida ingine kubwa ya kiafya. Najua sasa unahamu ya kusikia kuhusu mazoezi haya basi na tuanze kuyachambua


Kwanza unatakiwa kufahamu kuhusu misuli inayohusika katika kukusaidia kwenye safari yako ya kukaza uke. Fanya zoezi hili wakati unakojoa bana mkojo katikati.Ukifanikiwa zoezi hili basi tayari umetambua misuli yako ya kuitumia katika zoezi linalofuata, malizia kutoa mkojo iliobaki baada ya hapo fuata maelekezo haya


Tafuta mahali pazuri pa kufanyia zoezi ukiwa nyumbani kwako, sehemu ambayo unaweza kulala chali ili tuanze zoezi


Kumbuka misuli uliyokaza pale ulipokuwa unakojoa, basi tumia misuli hiyo hiyo.


Kaza misuli yako kwa sekunde 5, kisha relax kwa sekunde 5 zingine


Rudia zoezi hili mpaka awamu 5 kwa wakati mmoja unakaza unaachia


Kadiri unavoendelea na kulizoea zoezi hil basi ongeza muda wa kufanyaKwanza unatakiwa kufahamu kuhusu misuli inayohusika katika kukusaidia kwenye safari yako ya kukaza uke. Fanya zoezi hili wakati unakojoa bana mkojo katikati.Ukifanikiwa zoezi hili basi tayari umetambua misuli yako ya kuitumia katika zoezi linalofuata, malizia kutoa mkojo iliobaki baada ya hapo fuata maelekezo haya


Tafuta mahali pazuri pa kufanyia zoezi ukiwa nyumbani kwako, sehemu ambayo unaweza kulala chali ili tuanze zoezi


Kumbuka misuli uliyokaza pale ulipokuwa unakojoa, basi tumia misuli hiyo hiyo.


Kaza misuli yako kwa sekunde 5, kisha relax kwa sekunde 5 zingine


Rudia zoezi hili mpaka awamu 5 kwa wakati mmoja unakaza unaachia


Kadiri unavoendelea na kulizoea zoezi hil basi ongeza muda wa kufanya zoezi hadi sekunde 10 kutoka sekunde 5 za awali. Hakikisha usitumie misuli ya tako, tumia misuli ya ndani ya uke na nyonga (pelvic floor muscles). Kwa matokeo mazuri zaidi fanya seti 3 za mazoezi ya kegel mara 5 mpaka 10 kwa siku.

 zoezi hadi sekunde 10 kutoka sekunde 5 za awali. Hakikisha usitumie misuli ya tako, tumia misuli ya ndani ya uke na nyonga (pelvic floor muscles). Kwa matokeo mazuri zaidi fanya seti 3 za mazoezi ya kegel mara 5 mpaka 10 kwa siku.



KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!