UZAZI
• • • • •
USHAURI KWA WAJAWAZITO JUU YA KUFANYA MAZOEZI
Wanawake wajawazito wanaofanya mazoezi kidogo ili kuimaridsha afya zao,ikitokea wakati wa mazoezi haya umeanza kujihisi maumivu makali ya kichwa,kizunguzungu,maumivu ya mgongo,kiuno na kifua,
kuongezeka kwa mapigo ya moyo na kukaza kwa misuli unapaswa kuacha mara moja mazoezi kwa wakati huo. Pumzika na endelea kesho yake
-
Kwako wewe mazoezi ni muhimu sana,lakini mwili wako unahitaji utayari na lazima mazoezi haya yafanyike kwa kiasi bila kuathiri ujauzito husika. Ni kidogo tu kwa afya!
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
afya
afyaclass
afyatips
magonjwa ya wanaume
magonjwa ya wanawake
magonjwa ya watoto
makala
muhimu
new
post
uzazi
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!