VIPIMO MUHIMU KWA KILA MGONJWA ANAYEFIKA HOSPITALINI BILA KUJALI UGONJWA WAKE(vital signs)
AFYA YAKO
• • • • •
VIPIMO MUHIMU KWA KILA MGONJWA ANAYEFIKA HOSPITALINI BILA KUJALI UGONJWA WAKE(vital signs)
Ni kweli kwamba kuna vipimo maalumu kulingana na ugonjwa wa Mtu ambaye kafika hosptalini, japo kuna baadhi ya vipimo ambavyo kila mgonjwa lazima avipate bila kujali aina ya ugonjwa wake,
Baadhi ya Vipimo hivo huweza kusaidia kujua mwili upo sawa au kuna tatizo,na vipimo hivi ni muhimu sana kwa kila mgonjwa,ndyo maana vikapatiwa jina la VITAL SIGNS.
VIPIMO MUHIMU KWA KILA MGONJWA ANAYEFIKA HOSPITALINI BILA KUJALI UGONJWA WAKE(vital signs)
- Kipimo cha Presha au shinikizo la Damu maarufu kama Blood pressure(BP)
- Kipimo cha joto la mwili au Temperature
- Kipimo cha mapigo ya moyo
- Kipimo cha uzito wa mwili
- Kipimo cha upumuaji au rate of Breathing
- Kipimo cha kiwango cha hewa ya oxygen mwillini yaani Oxygen concetration(O2)
N.k
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!