Jinsi Msongo Wa Mawazo unavyoweza Kuathiri Tendo la Ndoa

 MAWAZO

• • • • • •

Jinsi Msongo Wa Mawazo unavyoweza Kuathiri Tendo la Ndoa


Bila shaka utakubaliana na mimi kwamba mapenzi ni hisia,ndiyo maana kwa hivi sasa kuna watu wengi hukosa hisia za kufanya Tendo la ndoa,hali ambayo huwapelekea kutokulifurahia tendo hata pale wanapojaribu kufanya.


Watu wengi hukumbwa na tatizo la kukosa hamu au hisia ya tendo la Ndoa, Kutokuridhika wakati wa tendo la ndoa, kukosa nguvu za kiume,kutokufurahia tendo n.k


Mawazo ya binadamu huchangia asilimia kubwa sana katika kuathiri tendo la ndoa kwa pande mbili(positive au negative) kutegemeana na hali uliyo nayo wakati wa kushiriki tendo la Ndoa.


MSONGO WA MAWAZO huweza kusababisha mhusika kushindwa kabsa kufanya tendo la ndoa, Kukosa hamu ya tendo, kuwahi kufika kileleni, uume kushindwa kabsa kusimama, kutokuridhika kabsa wakati wa tendo la ndoa n.k


Hivo epuka kushiriki tendo la ndoa ukiwa na msongo wa mawazo ili kuweza kulifurahia tendo hili.


CASES:


kuna watu wengi hupatwa na tatizo la kukosa kabsa hamu ya tendo la ndoa, lakini baada ya uchunguzi,imeonekana msongo wa mawazo umechukua nafasi kubwa kuchangia tatizo hili,huku ikifatiwa na sababu zingine mbali mbali kama vile;


✓ uchovu kupita kiasi kutokana na shughuli nyingi na za kuchosha mwili sana


✓ Maambukizi ya magonjwa mbali mbali


✓ Tatizo la hormone imbalance N.k


MAJIBU: Baada ya watu kama hawa kupata msaada wa kuondokana na tatizo la Msongo wa Mawazo, hata uwezo wao wa kufanya tendo la ndoa hurejea mara moja.


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.



0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!