MAELEKEZO: Jinsi ya Kufanya Booking Mtandaoni kupata chanjo ya Uviko 19(COVID-19)
UVIKO-19
• • • • • •
MAELEKEZO: Jinsi ya Kufanya Booking Mtandaoni kupata chanjo ya Uviko 19(COVID-19)
Baada ya Wizara ya Afya nchini Tanzania kuweka wazi utaratibu wa Jinsi ya Kufanya Booking Mtandaoni kupata chanjo ya Uviko 19 au COVID-19, Haya hapa ni maelekezo machache ya jinsi ya kufanya pamoja na vitu vya kuzingatia.
VITU VYA KUZINGATIA;
- Kabla ya Kuanza Kufanya Booking ya Uviko 19 Mtandaoni,unatakiwa kuwa na vitu hivi hapa;
• Andaa kitambulisho chochote kati ya Hivi hapa
✓ Kitambulisho cha Taifa yaani NIDA
✓ Kitambulisho cha Mpiga kura yaani VOTERS ID
✓ Leseni yako ya Udereva yaani Drivers License
✓ Passport ya Kusafiria
• Baada ya hapo ingia kwenye TOVUTI ili kuanza kufanya booking kupitia Link hii hapa chini
Bofya hapa: LINK
Kisha fuata Maelekezo yote kwenye Tovuti husika hapo juu kutokana na maelekezo ambayo utapewa.
KWA MAELEKEZO ZAIDI YA WIZARA YA AFYA:
• Simu no: +255242231614
• Tovuti(Website): www.mohz.go.tz
• Barua pepe: Info@mohz.go.tz
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!