ORODHA YA MAGONJWA AMBAYO YANAONGOZA KUSABABISHA VIFO KWA WANAUME DUNIANI

 WANAUME

• • • • •

ORODHA YA MAGONJWA AMBAYO YANAONGOZA KUSABABISHA VIFO KWA WANAUME DUNIANI


Kutokana na taarifa za Centers for disease control(CDC), kuna baadhi ya magonjwa ambayo yameonekana kusababisha vifo kwa wanaume kwa kiasi kikubwa sana duniani kote,


Na katika makala hii tumekuandalia orodha ya magonjwa kumi(top 10 diseases) ambayo huongoza kwa kusababisha vifo kwa jinsia ya kiume duniani kote.


ORODHA YA MAGONJWA AMBAYO YANAONGOZA KUUWA WANAUME NI PAMOJA NA;


1. Magonjwa ya Moyo


Hapa tunazungumzia magonjwa mbali mbali ya moyo kama vile; Shambulio la moyo(Heart attack), Cardiac arrest N.k


2. Kansa au Saratani


Aina ya kwanza ya kansa ambayo husababisha vifo vya Wanaume kwa Kiasi kikubwa sana ni Kansa ya Mapafu(Lung cancer), huku ikifatiwa na aina zingine za kansa kama vile; Kansa ya TEZI DUME n.k


3. AJALI mbali mbali


Ajali sio ugonjwa japo Centers for Disease control(CDC), wameiweka kwenye Orodha ya magonjwa ambayo huongoza kuondoa uhai wa Wanaume wengi duniani


4. Tatizo la STROKE au Kiharusi


Ambapo tatizo hili huambatana na uvutaji wa sigara kwa kiasi kikubwa,unywaji wa pombe kupindukia na Presha kupanda kwa kiasi kikubwa sana


5. Chronic obstructive pulmonary diseases(COPD)


Magonjwa ya muda mrefu yanayosababisha kuziba kwa mapafu pamoja na njia ya hewa kwa ujumla


6. Ugonjwa wa Kisukari


Ugonjwa huu pia huwasumbua wanaume wengi na hata kusababisha vifo kwao


7. Ugonjwa wa Pneumonia pia ni miongoni mwa magonjwa ambayo husababisha vifo kwa kiwango kikubwa


8. Magonjwa ya Figo


Ikiwa ni pamoja na tatizo la Figo zote kufeli au kushindwa kufanya kazi

9. Magonjwa yanayohusu ubongo ikiwa ni pamoja na;  Dementia,Alzheimers n.k


10. Ndipo magonjwa mengine yanafata hapa...!!!


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!