Ticker

6/recent/ticker-posts

WATU AMBAO WAPO KWENYE HATARI YA KUPATA UGONJWA WA PNEUMONIA



 PNEUMONIA

• • • • • •

WATU AMBAO WAPO KWENYE HATARI YA KUPATA UGONJWA WA PNEUMONIA


Watu ambao wapo kwenye hatari ya kupata Pneumonia ni pamoja na:


 1.Wenye miaka 65 au zaidi


 2. Kuwa na hali sugu (inayoendelea) kama pumu, ugonjwa wa sukari, au ugonjwa wa moyo


 3. Wagonjwa waliofanyiwa upasuaji unaohusisha mfumo au njia ya hewa n.k


4. Wanaopata Lishe Duni au wenye upungufu mkubwa wa vitamini na madini ya kutosha


 5. Kuwa na hali nyingine ambayo inadhoofisha kinga ya mwili wako


6. Wanaokunywa pombe kupita kiasi


7. Wenye maambukizi ya VVU au UKIMWI



8. Wenye tatizo la leukemia, limfoma, au ugonjwa wa figo

N.K


DALILI;


 Je! Ni Dalili Zipi za Ugonjwa wa Pneumonia?


 Mgonjwa mwenye tatizo la Pneumonia Siku za kwanza huhisi homa, na dalili zingine kama vile:


- Kupumua kwa shida


- Kutoa sauti wakati wa kuvuta na kutoa hewa


 - Kikohozi Kikavu


 -  Maumivu ya kichwa


 - Maumivu ya Koo


-  Kupoteza hamu ya kula


- Maumivu ya misuli

N.k


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.






Post a Comment

0 Comments