Watu 13 wamefariki dunia na 25 kujeruhiwa katika ajali ya Basi la Ally's kugonga Treni Manyoni
Watu 13 wamefariki dunia na 25 kujeruhiwa katika ajali ya Basi la Ally’s lenye namba za usajili T.178 DVB lililokuwa likitokea Jijini Dar es salaam kwenda Jijini Mwanza baada ya kugonga Treni za mizigo maeneo ya Manyoni leo Novemba 29,2023 majira ya Saa 11 alfajiri.

0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!