Kijana wa umri wa miaka 20, akutwa akiwa hai baada ya kujificha kwenye matairi ya ndege
Kijana wa umri wa miaka 20, akutwa akiwa hai baada ya kujificha kwenye matairi ya ndege.
Kijana wa umri wa miaka 20, amekutwa akiwa hai baada ya kujificha kwenye sehemu ya matairi ya ndege iliyosafiri kutoka Algeria hadi Ufaransa,
Kijana huyo aligunduliwa na wakaguzi wa ndege akiwa katika hali mbaya kiafya na baadaye aliwahishwa hospitalini.
Kwa mujibu wa takwimu za mamlaka ya Usafiri wa Anga ya Marekani (FAA), watu 132 walijaribu kusafiri kwa kutumia mfumo huo hatari kati ya mwaka 1947 na 2001.
Je, ni sahihi kufanya jaribio hilo kwa lego la kuyasaka maisha?
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!