Tatizo la Kuharisha kwa muda mrefu (Chronic diarrhea)

Sababu za kuharisha kwa muda mrefu

Soma hapa kwenye makala hii, kufahamu kuhusu Sababu za kuharisha kwa muda mrefu (chronic diarrhea) pamoja na Matibabu yake.

Sababu za kuharisha kwa muda mrefu

Kuharisha kwa muda mrefu (Chronic diarrhea) ni hali ya kujisaidia kinyesi cha maji zaidi, kuanzia mara 3 au Zaidi kila siku kwa muda wa angalau wiki nne(4),

Kuna baadhi ya Sababu za kuharisha kwa muda mrefu, Sababu Zipo nyingi na matibabu ya tatizo la Kuharisha kwa muda mrefu hutegemea kwenye Sababu hizo.

Sababu za kuharisha kwa muda mrefu

Baadhi ya Sababu za kuharisha kwa muda mrefu,ambazo huchangia mara nyingi uwepo wa tatizo hili ni pamoja na;

– Tatizo la irritable bowel syndrome (IBS),

– Tatizo la inflammatory bowel disease ikiwemo;

  • Crohn disease
  • Pamoja na ulcerative colitis

– Tatizo la malabsorption syndromes,

ambapo shida hutokea kwenye mwili kushindwa kumeng’enya na kufyonza chakula, kama vile kwa mtu mwenye shida ya celiac disease n.k,

– Maambukizi ya muda mrefu zaidi(chronic infections) n.k

Dalili za kuharisha kwa muda mrefu

Dalili za tatizo la kuharisha kwa muda mrefu ni pamoja na;

✓ kujisaidia kinyesi cha maji zaidi, kuanzia mara 3 au Zaidi kila siku kwa muda wa angalau wiki nne(4),

Hali hii ya kuharisha kwa muda wa wiki kadhaa mfululizo ndyo dalili kubwa ya tatizo la kuharisha kwa muda mrefu yaani chronic diarrhea.

✓ Hali hii ya Kuharisha kwa muda mrefu huweza kuambatana na dalili zingine kama vile;

Ukiwa na tatizo la kuharisha kwa muda mrefu hakikisha unafanya Vipimo na kupata Matibabu mapema Zaidi.

Vipimo ni pamoja na kufanyiwa uchunguzi wa kinyesi chako(stool test),vipimo vya damu n.k

✓ Sababu zingine za tatizo la kuharisha kwa muda mrefu ni pamoja na;

– matumizi ya baadhi ya dawa kama vile;

  • dawa jamii ya NSAIDs,
  • antibiotics,
  • antacids n.k

– Madhara ya unywaji wa pombe kupita kiasi-alcohol abuse n.k

FAQs: Maswali ambayo huulizwa mara kwa mara

Je,kuharisha kwa muda mrefu ni tatizo gani?

Kuharisha kwa muda mrefu (Chronic diarrhea) ni hali ya kujisaidia kinyesi cha maji zaidi, kuanzia mara 3 au Zaidi kila siku kwa muda wa angalau wiki nne(4).

Hitimisho

Tatizo la kuharisha kwa mrefu ni tatizo ambalo huweza kumpata mtu yoyote,

Kuharisha kwa muda mrefu (Chronic diarrhea) ni hali ya kujisaidia kinyesi cha maji zaidi, kuanzia mara 3 au Zaidi kila siku kwa muda wa angalau wiki nne(4).

Kuna baadhi ya Sababu za kuharisha kwa muda mrefu, Sababu Zipo nyingi na matibabu ya tatizo la Kuharisha kwa muda mrefu hutegemea kwenye Sababu hizo,

Sababu hizo ni pamoja na;

– Tatizo la irritable bowel syndrome (IBS),

– Tatizo la inflammatory bowel disease ikiwemo;

  • Crohn disease
  • Pamoja na ulcerative colitis

– Tatizo la malabsorption syndromes,

ambapo shida hutokea kwenye mwili kushindwa kumeng’enya na kufyonza chakula, kama vile kwa mtu mwenye shida ya celiac disease n.k,

– Maambukizi ya muda mrefu zaidi(chronic infections) n.k

Kama una dalili hizi za Kuharisha kwa Muda mrefu, hakikisha unafanya Vipimo ili kupata Matibabu kulingana na shida yako.

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA JUU YA TATIZO LOLOTE TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!