“Walifariki baada ya kula uyoga walionunua kwa mama mmoja aliyekuwa anafanya biashara hiyo ya uyoga”.
Siku chache baada ya kamanda wa jeshi la polisi mkoani Mwanza Wilbroad Mutafungwa kutangaza kutokea kwa vifo vya watu wawili kutokana na kula uyoga wenye sumu familia ya Eva Jonas ambyo imepoteza mtu mmoja imezungumza na kueleza namna mtoto wake alivyofariki kwa kula Uyoga.
Eva amesema vijana hao wamefariki dunia baada ya kula uyoga huo ambao waliununua kwa mama mmoja walikutane mtaani akifanya biashara hiyo ya uyoga.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!