Watu billion 5.6 Duniani sawa na asilimia 71% ya watu wote duniani kulindwa na Sera ya kuzuia Tumbaku

Watu billion 5.6 Duniani sawa na asilimia 71% ya watu wote duniani kulindwa na Sera ya kuzuia Tumbaku.

Kwa Mujibu wa takwimu za shirika la Afya Duniani(WHO); 

Watu bilioni 5.6— sawa na asilimia 71% ya idadi ya watu duniani—sasa wanalindwa kwa angalau na sera moja ya utendaji bora ya WHO kusaidia kuokoa maisha kutokana na matumizi ya tumbaku,
Hii ni mara tano zaidi ya mwaka 2007.

Katika miaka 15 tangu hatua za WHO za MPOWER za kudhibiti tumbaku kuanzishwa duniani kote, viwango vya uvutaji sigara vimepungua,

na karibu asilimia 40% ya nchi mbali mbali sasa zina maeneo ya ndani ya umma yasiyo na moshi yaani “smoke-free indoor public places”.

Haya ni baadhi tu ya mambo muhimu ya afya duniani ambayo yalitoa matumaini katika Mwaka 2023. Katika 2024, tutachukua hatua zaidi kuelekea ulimwengu wenye afya, usalama na haki linasema shirika la Afya Duniani(WHO).

0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!