2024:Happy New Year to you, Heri ya Mwaka Mpya mdau wa afyaclass

2024:Happy New Year to you, Heri ya Mwaka Mpya mdau wa afyaclass

Tunatoa shukrani zetu za dhati kwako mwanafamilia wa afyaclass, umekuwa pamoja nasi kwa mwaka wa 2023, na Sasa tumeingia mwaka mpya wa 2024,

Heri ya Mwaka Mpya kwako..!!!

Asante kwa Ushirikiano wako ambao umetuonyesha katika mwaka uliopita, na wewe ambaye kwa namna moja au nyingine umenufaika na huduma za afyaclass tunakupa hongera sana.

Umepata elimu, Tiba, Ushauri n.k

Pia tunashukru sana kwa Feedbacks(mrejesho) zenu ambazo mnatoa kila siku, kwa kutuandikia kwenye SMS, na wengine kupiga Simu kabsa, hii inatutia moyo sana na inatufanya kuwa na moyo wa kuendelea na huduma hii ambayo imekuwa msaada mkubwa kwa watu wengi.

Ni matumaini yangu kwamba Mungu kakuvusha tena na kukuingiza mwaka mpya wa 2024,

Mwaka huu ukawe wa baraka zaidi kwako,amani,upendo, utulivu,mafanikio tele pamoja na afya Njema.

Asanteni sana wote…!!! Happy new year2024

#Afyaclass4Life

#Happy New Year 2024

#Heri ya mwaka Mpya 2024

0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!