Hali ya Nandy baada ya kuanguka jukwaani

Hali ya Nandy baada ya kuanguka jukwaani

Mwanamuziki @officialnandy amewatoa hofu mashabiki zake baada ya kudondoka jukwaani usiku wa juzi kwenye show ya @marioo_tz.

Mwanamuziki @officialnandy amewatoa hofu mashabiki zake baada ya kudondoka jukwaani usiku wa juzi kwenye show ya @marioo_tz. Nandy anasema kuwa sababu ya kudondoka ilitokana na kuchoka. Kwa sasa Nandy anaendelea vizuri na ameatakia heri ya Mwaka mpya mashabiki zake.

0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!