ICJ imeanza kusikiliza kesi dhidi ya Israeli

Mahakama ya Haki ya Kimataifa, ICJ, leo imeanza kusikiliza kesi iliyofunguliwa na Afrika Kusini dhidi ya Israel, ambayo inaishutumu nchi hiyo kwa kufanya mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina wa Gaza.

Hayo yanajiri wakati ambapo operesheni za kijeshi za Israel katika Ukanda wa Gaza zinaulenga mji wa kusini wa Khan Younis pamoja na kambi za wakimbizi katikati ya eneo hilo.

0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!