Mtangazaji wa televisheni, Isabella agunduliwa kuwa na Saratani ya Ubongo
Mtangazaji wa televisheni, Isabella agunduliwa kuwa na Saratani ya Ubongo.
Mtangazaji wa televisheni, Isabella, mwenye umri wa miaka19, bintiye Michael Strahan, anafichua kuwa alipatikana na Saratani ya Ubongo,
Mtangazaji huyu wa Televisheni kutoka Marekani, Binti ya Michael Strahan mwenye umri wa miaka 19 amefichua kuwa amekuwa akipambana na saratani adimu ya ubongo.
Isabella alitokwa na machozi alipokuwa akieleza wazi jinsi alivyopambana na saratani ya ubongo ambayo ni nadra sana kutokea,
Pia alifichua kwamba ilibidi afanyiwe upasuaji wa dharura baada ya madaktari kupata uvimbe mkubwa kuliko mpira wa gofu unaokua nyuma ya ubongo wake.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!