Mwaka 2020, takriban wanawake 70,000 Afrika walifariki kwa saratani ya mlango wa kizazi
Mwaka 2020, takriban wanawake 70,000 Afrika walifariki kwa saratani ya mlango wa kizazi.
Dk Matshidiso Rebecca Moeti ni Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika anasema;
Mnamo mwaka wa 2020, takriban wanawake 70,000 katika eneo la Afrika walipoteza maisha yao kwa saratani ya mlango wa kizazi.
Dk Matshidiso anasisitiza Zaidi;
Mwezi huu wa ufahamu wa #Saratani ya Mlango wa Kizazi, nakuomba uendelee kuifahamu,upate taarifa zaidi juu yake, upime, na upate chanjo.
Wacha tuweke historia ya saratani ya shingo ya kizazi.
“In 2020, about 70,000 women in the African region lost their lives to cervical cancer.
This #CervicalCancer awareness month, I urge you to stay informed, get screened, and get vaccinated.
Let’s make cervical cancer history”.
In 2020, about 70,000 women in the African region lost their lives to cervical cancer.
This #CervicalCancer awareness month, I urge you to stay informed, get screened, and get vaccinated.
Let's make cervical cancer history. pic.twitter.com/KMGbIKYEn7— Dr Matshidiso Moeti (@MoetiTshidi) January 3, 2024
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!