Orodha ya Magonjwa yenye Chanjo

Hii ni Orodha ya Baadhi ya Magonjwa yenye Chanjo;

kwa Mujibu wa Shirika la Afya Duniani(WHO), magonjwa haya yana chanjo;

1. Ugonjwa wa Saratani ya Shingo ya Kizazi(Cervical cancer)

2. Ugonjwa wa Kipindupindu(Cholera)

3. Tatizo la Diphtheria

4. Ugonjwa wa Ebola

5. Ugonjwa wa homa ya Ini(Hepatitis B)

6. Ugonjwa wa Surua(Measles)

7. Ugonjwa wa homa ya uti wa mgongo(Meningitis)

8. Mafua(Influenza)

9. Ugonjwa wa mumps

10. Ugonjwa wa kifaduro,pertusis,Diphtheria

11. Ugonjwa wa pneumonia

12. Ugonjwa wa Polio

13. Tatizo la Kichaa cha mbwa(Rabies)

14. Tatizo la Rubella

15. Tatizo la Rotavirus

16. Tatizo la pepopunda maarufu kama Tetenus

17. Homa ya matumbo au Typhoid

18. Ugonjwa wa homa ya manjano(yellow fever) n.k

WHO: Chanjo huweza kukulinda dhidi ya magonjwa kama vile:

✅Cervical cancer
✅Cholera
✅Diphtheria
✅Ebola
✅Hep B
✅Measles
✅Meningitis
✅Influenza
✅Mumps
✅Pertussis
✅Pneumonia
✅Polio
✅Rabies
✅Rotavirus
✅Rubella
✅Tetanus
✅Typhoid
✅Varicella
✅Yellow Fever

0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!