Carl Weathers:Muigizaji afariki akiwa usingizini
Muigizaji mkongwe kutoka nchini Marekani Carl Weathers amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 76.
Taarifa ya kifo chake imetolewa na familia yake siku ya Februari 1 wakieleza kuwa Weathers amefariki kwa Amani akiwa usingizini.
Aidha Weathers ameacha watoto wawili, ambao ni Jason na Matthew, pamoja na wajukuu.
CarlWeathers amejulikana kupitia filamu mbalimbali ikiwemo;
- ‘Predator’ ,
- ‘Rocky’,
- ‘Star Wars’,
- ‘The Mandalorian’ na nyinginezo.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!