Mwanamke mmoja ajifungua akiwa na umri wa miaka 57
Mwanamke mmoja nchini Nigeria, Ehis Enaruna, amesherehekea baada ya dadake kujifungua mtoto akiwa na umri wa miaka 57.
Alishiriki picha za mama huyo mpya na mtoto wake kwenye chapisho la Facebook mnamo Jumatano, Februari 7, 2024,
aliandika;
“Hongera Kubwa Kwa Dada Yangu Mrembo Baada ya umri wa miaka 57, Mungu bado anajibu maombi yake. Asante Bwana wangu,” Nanukuu chapisho hilo.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!