Haijalishi wewe ni mwanaume kutafta Msaada kwa wataalam wa afya ikiwa unaumwa ni muhimu sana

Haijalishi wewe ni mwanaume kutafta Msaada kwa wataalam wa afya ikiwa unaumwa ni muhimu sana.

Kihistoria, wanaume wamezoeshwa kujiona kuwa wana “uwezo usio na mwisho na kamwe hawawezi kushindwa,”

Kwa hivyo ikiwa mwanaume kapata ugonjwa wowote, inakuwa kazi kubwa hata kwenda hosptal,kwa sababu inaonekana kama si jambo kubwa kwake, anatakiwa kuvumilia.

Hii Inaleta madhara zaidi, na kusababisha wanaume wengi wanaofika hospital,hali ya ugonjwa walio nao tayari unakuwa kwenye hatua mbaya Zaidi.

fahamu; magonjwa yote ikiwemo; magonjwa ya Moyo, Figo, Ini, Saratani n.k, ukipata tiba mapema ndivo uwezekano wa kupona kabsa unakuwa mkubwa zaidi kuliko ukichelewa

0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!