Mtu mzee zaidi duniani asherehekea siku yake ya kuzaliwa, ametimiza miaka 117

Mtu mzee zaidi duniani asherehekea siku yake ya kuzaliwa, ametimiza miaka 117

Heri ya siku ya kuzaliwa kwa Maria Branyas Morera.

Amesherehekea siku yake ya kuzaliwa, ametimiza miaka 117 tarehe 4 Machi 1907 huko San Francisco, Marekani, lakini alirudi Uhispania na familia yake alipokuwa na umri wa miaka nane na kuishi Catalonia.

Alithibitishwa kuwa mtu mzee zaidi duniani na Guinness World Records mnamo Januari 2023 ?

Alianza kuishi katika nyumba moja ya wazee miaka 23 iliyopita.

?: Guinness World Records

0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!