Mifugo ya mbwa yaonekana kuwa hatari

Mifugo ya mbwa yaonekana kuwa hatari

Wizara ya kilimo ya Msumbiji imepiga marufuku uagizaji wa mifugo ya mbwa inayoonekana kuwa hatari.

Uamuzi huo unalenga kupambana na mashambulizi mengi ya mbwa ambayo yameripotiwa nchini humo,

Kuumwa na mbwa ni jambo la kawaida Msumbiji ambazo baadhi ya majeraha ni mabaya na wengine wameishia kukatwa viungo na hata vifo.

Mifugo yote iliyopigwa marufuku ambayo tayari ipo nchini lazima isajiliwe na mamlaka ndani ya siku 60.

0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!