Mtu mwenye Figo Nne agundulika nchini Somalia

Mtu mwenye Figo Nne agundulika nchini Somalia.

Anakuwa mtu wa nne duniani mwenye figo nne ambapo awali kulikuwa na watu watatu pekee wenye figo za ziada zilizorekodiwa duniani kote.

Na sasa mtu wa nne amepatikana nchini Somalia.

Ni Mvulana mdogo ambaye aliugua na baada ya uchunguzi wa muda mrefu aligundulika kuwa ana figo nne.

Figo zake zina afya nzuri na zinafanya kazi kawaida.

Madaktari wanasema kwamba ubora wa figo zake nne ni sawa na mtu mwenye figo mbili na hakuna faida ya ziada tofauti na wenye figo mbili.

0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!