Dawa muwasho sehemu za siri,chanzo cha muwasho sehemu za Siri
Nini dawa ya muwasho sugu sehemu za siri?
Haya ni baadhi ya Maswali kati ya Maswali mengi ambayo tunayapata Kila siku,
Tatizo la Muwasho Sehemu za Siri
Kwanza,Kabla ya kutafuta Dawa ni lazima ufahamu chanzo cha muwasho ni nini?
ZIPO SABABU MBALI MBALI AMBAZO HUWEZA KUSABABISHA TATIZO LA MUWASHO,
Unaweza kupata muwasho sehemu za Siri kwa Sababu mbali mbali ikiwemo;
– Maambukizi ya Fangasi Sehemu za siri, Hii ni miongoni mwa Sababu kubwa ya kuleta muwasho sehemu za Siri(–)
– Tatizo la allergies au Mzio
– Kuwa na Tatizo la Bacterial Vaginosis
– Maambukizi ya Magonjwa mbali mbali ya Zinaa(STIs) ikiwemo;
- Ugonjwa wa Chlamydia
- Tatizo la Genital warts
- Ugonjwa wa Kisonono(gonorrhea)
- Tatizo la genital herpes
- Tatizo la Trichomoniasis n.k
– Matatizo mbali mbali ya ngozi ikiwemo;
- Tatizo la skin irritation
- Hali kama eczema,
- Psoriasis n.k
– Tatizo la Saratani kama vile vulvar Cancer n.k(–)
MATIBABU
Matibabu ya tatizo hili hutegemea na chanzo chake,mfano kama shida ni Fangasi,basi utapata matibabu ya Fangasi N.K
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
Rejea pia: Makala hii Kuhusu Muwasho sehemu za Siri. Soma hapa
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!