KIZAZI KUWA NA MAJI:CHANZO CHAKE
KIZAZI KUWA NA MAJI:CHANZO CHAKE
Kuna tofauti kati ya matatizo haya mawili,kizazi kujaa maji/kizazi kuwa na maji pamoja na tatizo la mirija ya uzazi kujaa maji yaani Hydrosalpinx
Hapa tunajadili kuhusu tatizo la kizazi kuwa na maji na sio mirija ya uzazi kujaa maji
Ukifwatilia vipimo vya ULTRASOUND utagundua kwamba,kila mwanamke ana maji kwenye kizazi kwenye eneo la Cul-De-Sac,
Shida inakuja pale ambapo maji kwenye eneo hili kuwa mengi kuliko kawaida na wakati mwingine kuwa na usaha pamoja na Damu..
CHANZO CHA KIZAZI KUJAA MAJI NI PAMOJA NA;
- Mwanamke kuwa na shida ya uvimbe kwenye kizazi
- Mwanamke kupatwa na tatizo la kupasuka kwa Ovarian Cyst
- Maji ya mtoto kuleak na kuanza kuingia kwenye kizazi yaani Follicle leaks fluid
- Mwanamke kupatwa na tatizo la mimba kutunga nje ya kizazi yaani Ectopic Pregnancy
- Line ya tissues kwenye kizazi kukua zaidi au shida ya Endometriosis
- Kuwa na jipu ndani ya kizazi
- Kuwa na Molar pregnancy ambapo hutokea Cyst kwenye yai ambalo tayari limerutubishwa
- Matumizi ya High Dose ya kichocheo cha Estrogen ambapo huweza kusababisha maji kuleak kwenye mishipa ya damu na kutoka nje
- Shida ya Ovarian Torsion
- Mwanamke kutokewa na Jipu lenye usaha maeneo ya nyonga yaani Pelvic Abscess or Hematoma
- Maambukizi kwenye via vya uzazi vya Mwanamke yaani PID(pelvic Inflammatory disease) ambayo ni ya mara kwa mara,na ambayo hayatibiwi
- Shida ya Retrograde menstrution ambapo hedhi badala ya kutoka Nje hurudi ndani
- Shida ya Tubo-Ovarian abscess
- Mwanamke kupatwa na Uterine Fibroids N.k
Soma hapa:Tatizo la kuziba Mirija ya Uzazi
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!