MAANA YA PMTCT 1 NA PMTCT 2 KWENYE KADI LA MAMA MJAMZITO
MAANA YA PMTCT 1 NA PMTCT 2 KWENYE KADI LA MAMA MJAMZITO
Nmekutana na Maswali mengi sana juu ya hili,
na watu wengi wamekuwa wakihangaika kutaka kujua maana ya haya maneno,
Mama mjamzito anapohudhuria Kliniki moja ya vitu ambavyo anapimwa ni pamoja na Maambukizi ya Virusi vya Ukimwi au HIV/AIDS.
Baada ya Vipimo hivo,majibu yake hujazwa kwenye kadi la mahudhurio ya kliniki kwa mama mjamzito,
Hapo ndipo tunapoanza kukutana na maneno "PMTCT 1 na PMTCT 2" kwa mara nyingi zaidi.
MAANA YA PMTCT 1 NA PMTCT 2 KWENYE KADI LA MAMA MJAMZITO
PMTCT- ni ufupisho wa maneno haya "Prevention of Mother-To-Child Transmission"
P- Prevention of
M- mother
T- To
C- Child
T- Transmission
Sasa basi tunakuja kwenye PMTCT 1 na PMTCT 2
• PMTCT-1 Hii ina maana ya POSITIVE au Mama huyo mjamzito ana maambukizi ya Virusi vya Ukimwi(HIV/AIDS)
• PMTCT-2 Hii ina maana ya NEGATIVE au Mama huyo mjamzito hana maambukizi yoyote ya ukimwi(HIV/AIDS).
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA JUU YA TATIZO LOLOTE TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!