Mabadiliko baada ya kutolewa bikra,
Mabadiliko baada ya kutolewa bikra,
Yapo mabadiliko mbali mbali ambayo mwanamke huweza kuyapata baada ya kutolewa bikra,
ikiwemo Maumivu ya bikra, kuanza kutoa damu ya bikra n.k
Pia Kuna maswali mbali mbali ambayo wateja wetu huulizia sana,ikiwemo swali la Bikra inatoka kwa Siku ngapi, Bikra ipo umbali gani? Madhara ya kutoa bikra n.k
MABADILIKO BAADA YA KUTOLEWA BIKRA
Baada ya mwanamke kupoteza usichana wake yaani Bikra hupata mabadiliko mbali mbali kwenye mwili wake,
Fahamu kuhusu mwanamke kupoteza Bikra na matokeo yake
MAMBO AMBAYO HUTOKEA KWA MWANAMKE BAADA YA KUPOTEZA BIKRA
Je bikra Inatolewa na nini?
• Bikra hutoka baada ya mwanamke kuanza kufanya mapenzi kwa mara ya kwanza
• Sio kila mwanamke Bikra yake ilitoka baada ya kufanya mapenzi,wengine Bikra hutoka kutokana na sababu mbali mbali kama vile; Kuingiza vidole ukeni mara kwa mara, kutumia sex toys, kuchomwa na kitu cha ncha kali n.k
• Sio kwa kila mwanamke lazima damu itoke wakati Bikra inatoka
• Hali ya kuvutika kwa uke yaani Vaginal elasticity hubadilika mara tu baada ya Bikra kutoka
• Mwanamke huweza kuanza kupata mabadiliko mbali mbali mwilini kama vile; matiti kuwa makubwa zaidi n.k
• Mwanamke kupata maumivu makali, damu kutoka n.k Hasa baada ya Hymenal tissues kuvutika sana na kuharibika
• Mwanamke kuingiwa na hofu pamoja na wasiwasi mkubwa kuhusu swala la kufanya mapenzi
• Mwanamke kuwa katika hatari zaidi ya kupata magonjwa ya zinaa wakati Bikra inatoka au muda mfupi baada ya kutoka,
Magonjwa hayo ni kama vile; Maambukizi ya HUMAN PAPILLOMA VIRUS(HPV), ugonjwa wa Pangusa au Chlamydia, Kisonono(Gonorhea), Genital herpes N.k
Dalili za Bikra Kutoka: Mwanamke kupata maumivu makali, damu kutoka n.k Hasa baada ya Hymenal tissues kuvutika sana na kuharibika
KUMBUKA: Afya yako ndyo Kitu cha kwanza, kama unapata shida yoyote au unaona kuna kitu hukielewi kwenye mwili wako, hakikisha unapata msaada kutoka kwa Wataalam wa afya au;
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA JUU YA TATIZO LOLOTE TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!