Unapoacha kuvuta Sigara,Vitu hivi hutokea
Nini hutokea mara tu baada ya kuacha kuvuta Sigara, kumbuka kadri unavokuwa mbali na Sigara ndivyo afya yako huimarika Zaidi,
Kwa Mujibu wa Shirika la Afya Duniani(WHO); Unapoacha kuvuta sigara,vitu hivi huanza kutokea;
(1)Baada ya Dakika 20
Mapigo ya Moyo hushuka
(2) Baada ya Masaa 12
– Kiwango cha Carbon monoxide kwenye damu hushuka, na kurudi kwenye hali ya kawaida
(3) Kati ya wiki 2 mpaka miezi 3
✓ Hatari ya kupata shambulio la Moyo(Heart attack) hupungua Zaidi
✓ Utendaji kazi wa Mapafu yako huanza kuboreka Zaidi.
#SOMA Hapa Zaidi, Madhara ya Kuvuta Sigara kwa Afya yako
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!