Tatizo la Kucheua Tindi Kali(Acid Reflux)

 Tatizo la Kucheua Tindi Kali(Acid Reflux).

Kucheua tindi kali ni hali ambapo mchanganyiko wa chakula wenye tindi kali iliyopo tumboni kila wakati hupanda juu kupitia umio(esophagus).

Hali hii hutokea kwa sababu vali iliyopo unapoishia umio haifungi vizuri chakula kinapokuwa kimeingia tumboni.Tindi kali hupanda kupitia umio kuingia kooni na kisha mdomoni,hivyo humfanya mtu ajisikie ladha chungu.

Hali hii ikiwa ya muda mrefu inaweza kupelekea saratani ya koo.Tatizo la kucheua tindikali (Acid Reflux) ni ngumu kugundulika kwani inaambatana na dalili za kutatanisha.

Miongoni mwa dalili hizo ni pamoja na.

- Kikohozi kikavu cha muda mrefu.

- Kucheua chakula ikiambatana na ladha chungu.

- Hisia ya kwamba chakula kinakwama kooni.

- Maumivu ya kifua.

- Shida wakati wa kumeza chakula.

- Kukauka koo/Maumivu makali na sauti kukwaruza.

- Tumbo kuwaka moto

- kupata kiungulia.

- kujisaidia choo kigumu.

- kuwa na wasiwasi muda wote.

- kukosa usingiza.

- uchovu wa mwili n.k

Karibu upate ushauri na tiba.
Tiba zetu ni bora zaidi kwani zitakupa suluhisho la kudumu.
call&watsap +225758286584.

SOMA ZAIDI HAPA: Kuhusu Tatizo hili la Acid reflux,chanzo,dalili na Matibabu yake.



0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!