Ticker

6/recent/ticker-posts

Selimundu ni nini, fahamu kuhusu Seli Mundu,SICKLE CELL

Selimundu ni nini, fahamu kuhusu Seli Mundu,SICKLE CELL

Dalili za ugonjwa wa seli mundu,Soma zaidi hapa kuhusu Sickle cell

Katika Makala hii tunachambua Zaidi kuhusu Dalili za ugonjwa wa seli mundu,chanzo cha ugonjwa wa Seli mundu pamoja na Matibabu yake.

Seli mundu ni nini?

Seli mundu ni ugonjwa ambao upo kwenye kundi la inherited red blood cell disorders, ugonjwa huu kwa jina lingine hujulikana kama "Sickle cell"

kwa kawaida seli nyekundu za damu(red blood cells) huwa na umbo linalojulikana kama biconcave disks, lakini Ugonjwa wa seli mundu husababisha umbo la seli nyekundu za damu kuwa kama 'C' yaani C-shaped au “sickle.” na hapa ndipo jina la ugonjwa huu kuitwa Sickle cell hutokea.(tazama shape kwenye picha)

kutokana na seli nyekundu za damu kuwa na shape au umbo lisilo la kawaida,hii hupelekea seli hizo kufa mapema zaidi.

Hayo ndyo maelezo mafupi ya utangulizi kuhusu ugonjwa wa Seli mundu.

Aina za Ugonjwa wa Seli mundu

Kuna aina mbali mbali za ugonjwa wa seli mundu ikiwemo;

  • HbSS
  • HbSC
  • HbS beta-thalassemia
  • HbSD
  • HbSE
  • HbSO
  • HbAS n.k

Chanzo cha Ugonjwa wa Seli mundu

Seli mundu ni ugonjwa ambao mtoto kuzaliwa nao, ugonjwa wa Seli mundu hutokana na kurithi kwa genes mbili ambazo huleta shida,

Mtoto hupokea genes mbili,moja kutoka kwa baba,na nyingine kutoka kwa mama, ambazo husababisha(code) matatizo kwenye hemoglobin kisha kupelekea uzalishwaji wa hemoglobin zenye shida yaani abnormal hemoglobin,

Na hapo ndipo ugonjwa wa Seli mundu hutokea.

Jinsi ya Kugundua ugonjwa wa seli mundu

ugonjwa wa seli mundu huweza kugundulika kwa kufanya vipimo vya damu yaani simple blood test.

Dalili za ugonjwa wa seli mundu

Dalili za ugonjwa wa seli mundu kwa Ujumla zinahusisha zile zote za Mtu ambaye kaishiwa damu au ana tatizo la ANEMIA kama vile;

– Kushindwa kupumua vizuri

– Kizunguzungu

– Maumivu ya kichwa

– Ubaridi katika viganja na miguuni

– Unjano katika macho na ngozi au jaundice

– Weupe katika viganja, na eneo la macho liitwalo conjuctiva, ulimi na midomo

– Maumivu ya tumbo

– Homa

– Maumivu ya viungo (joint pains)

– Maumivu ya kifua

– Damu katika mkojo (hematuria)

– maumivu ya mfupa

– kuziba kwa ateri kuu (CRAO)

Matibabu ya Ugonjwa wa Seli mundu

Kwa mujibu wa chapisho la Vituo vya kudhibiti na kuzuia magonjwa yaani centers for diseases control and prevention(CDC)

Tiba pekee ya ugonjwa wa seli mundu ambayo huweza kutibu kabsa tatizo hili ni;

bone marrow transplant

Au stem cell transplant.

FAQs: Maswali ambayo huulizwa mara kwa mara

Je, ugonjwa wa seli mundu ni nini?

Seli mundu ni ugonjwa ambao upo kwenye kundi la inherited red blood cell disorders, ugonjwa huu kwa jina lingine hujulikana kama "Sickle cell"

kwa kawaida seli nyekundu za damu(red blood cells) huwa na umbo linalojulikana kama biconcave disks, lakini Ugonjwa wa seli mundu husababisha umbo la seli nyekundu za damu kuwa kama 'C' yaani C-shaped au “sickle.” na hapa ndipo jina la ugonjwa huu kuitwa Sickle cell hutokea.

Je, chanzo cha ugonjwa wa seli mundu ni kipi?

Seli mundu ni ugonjwa ambao mtoto kuzaliwa nao, ugonjwa wa Seli mundu hutokana na kurithi kwa genes mbili ambazo huleta shida,

Mtoto hupokea genes mbili,moja kutoka kwa baba,na nyingine kutoka kwa mama, ambazo husababisha(code) matatizo kwenye hemoglobin kisha kupelekea uzalishwaji wa hemoglobin zenye shida yaani abnormal hemoglobin,

Na hapo ndipo ugonjwa wa Seli mundu hutokea.

Hitimisho

Ni muhimu sana kufahamu kuhusu Dalili za ugonjwa wa seli mundu ili kupata msaada kwa haraka zaidi,

Dalili za ugonjwa wa seli mundu kwa Ujumla zinahusisha zile zote za Mtu ambaye kaishiwa damu au ana tatizo la ANEMIA kama vile;

– Kushindwa kupumua vizuri

– Kizunguzungu

– Maumivu ya kichwa

– Ubaridi katika viganja na miguuni

– Unjano katika macho na ngozi au jaundice

– Weupe katika viganja, na eneo la macho liitwalo conjuctiva, ulimi na midomo

– Maumivu ya tumbo

– Homa

– Maumivu ya viungo (joint pains)

– Maumivu ya kifua

– Damu katika mkojo (hematuria)

– maumivu ya mfupa

– kuziba kwa ateri kuu (CRAO)

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU NA TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.