Mwaka 2023 ulikuwa mwaka wa rekodi ya kutokomeza magonjwa, kutokana na hatua kali za serikali na washirika wa afya duniani kote.
Mnamo Machi, WHO iliidhinisha kutokomeza Malaria Azerbaijan na Tajikistan, ikifuatiwa na Belize mwezi Juni.
Malaria huathiri baadhi ya watu walio hatarini zaidi duniani. Haya ni baadhi tu ya mambo muhimu ya afya duniani ambayo yalitoa matumaini katika mwaka 2023.
Mnamo 2024, tutachukua hatua zaidi kuelekea ulimwengu bora zaidi, salama na wa haki. Inaelezea WHO….!!!!!
Haya hapa chini ni Maelezo ya Shirika la Afya Duniani(WHO);
” 2023 was a record year for disease elimination, thanks to strong action by governments and health partners worldwide.
In March, WHO certified Azerbaijan and Tajikistan malaria-free, followed by Belize in June.
#Malaria affects some of the world’s most vulnerable people. These are just some of the global health highlights that offered hope in 2023.
In 2024, we will take further steps towards a healthier, safer, and fairer world.
➡ Check out global health achievements in 2023: ✨bit.ly/3TyHkKg”