Karibu katika Hospitali ya Magonjwa ya Kuambukiza ya Kibong'oto(Kibong'oto Infectious Diseases Hospital)
Leo nimekuandalia Makala Kuhusu Historia ya Hospital KONGWE Hapa Tanzania, Hospital ya Kibong'oto,
Hospitali ya Magonjwa ya Kuambukiza yaani Kibong'oto Infectious Diseases Hospital.
Hospital hii KONGWE hapa Tanzania,ni Hospital ambayo ilianzishwa Mnamo Mwaka,1926 hivo inatakribani zaidi ya Miaka 90 Kwa Sasa,
Hospital ya Kibong’oto, ipo Kaskazini mwa Tanzania, hapo awali ikijulikana kama Hospitali ya Kifua Kikuu ya Kibong’oto (TB) ambapo ilianzishwa mwaka 1926 kama kituo cha matibabu ya TB.
Hospital hii ipo kati ya vilele viwili vya Milima; Kilimanjaro (Kibo/kilele cha Uhuru) na Mlima Meru. Ikiwa na heshima ya zaidi ya miaka 90 ya uhalisia wake,
Lengo Likiwa ni kushiriki uzoefu wa KIDH katika utoaji wa huduma bora za afya kupitia mafunzo, utafiti na uvumbuzi na utoaji wa huduma kwa wateja wao wapendwa kwa uadilifu na bila ubaguzi.
Asante
Dkt Leonard Subi
Mkurugenzi wa Hospitali.
HIZI NI BAADHI YA HUDUMA AMBAZO ZINATOLEWA KATIKA HOSPITAL HII YA KIBONG'OTO;
1.Utoaji wa Huduma ya Kifua Kikuu(TB Care Delivery)
Katika hospital hii Unaweza kupata Huduma ya Matatizo ya Kifua Kikuu yaani TB,
Na hapa Wanaeleza zaidi;
"KIDH provide TB treatment under DOT to all its TB patients, providing choices to patients on whether to pursue home based DOT or health facility based DOT".
2.TB HIV
Pia Hospital hii wanatoa huduma ikiwemo Ushauri pamoja na vipimo vya HIV kwa wagonjwa wanaoshukiwa Kuwa na TB au Tayari waliothibitishwa kuwa na TB,
Na hapa Wanaeleza zaidi;
"KIDH provided TB/HIV services including: counseling and testing for HIV among all TB suspects/ patients, providing cotrimoxazole prophylaxis to all TB/HIV co-infected client".
3.Drug Resistant - TB
KIDH is currently the sole centre which provides MDRTB services in the country which began in November 2009. KIDH regularly conduct trainings to district coordinators on the management of MDRTB patient.
4. Utafiti(Research)
Pia tafiti mbali mbali zinaendelea kufanyika hapa,kwa Kushirikian na wadau mbali mbali kama vile;Kilimanjaro Clinical Research Insitute (KCRI) n.k
Hapa wanaeleza zaidi;
"A number of researches have been conducted at KIDH in collaboration with other insitution like the Kilimanjaro Clinical Research Insitute (KCRI), including: shortening of TB treatment duration".
Karibu katika Hospitali ya Magonjwa ya Kuambukiza ya Kibong'oto(Kibong'oto Infectious Diseases Hospital),
Na huu Ndyo Mwisho wa Makala yetu kuhusu Hospital hii ya Kibong'oto..