Ticker

6/recent/ticker-posts

CHAKULA KINAUA AU KUHUISHA ANGALIA UNAVYOKULA KILA SIKU



CHAKULA

• • • • • •

CHAKULA KINAUA AU KUHUISHA ANGALIA UNAVYOKULA KILA SIKU


Chakula unachokula kinaweza kukujenga(build), au kukuharibu(Destroy)


Mwili Wa binadamu unahitaji vyakula vyenye asili ya alkaline(80%) kwa wingi kuliko asidi(20) hii ni kwa sababu damu ina PH ya 7.34 hadi 7.35.


Vyakula vingi vyenye asili ya protini(hasa vinavyotokana na maziwa) na sukari(wanga) huongeza kiwango cha asidi sana na hivyo mwili kukosa uwiano mzuri na hatimae kulemewa na magonjwa mengi kama kisukari,pcos,homoni imbalance, mafua yasiyoisha,makohozi yasiyoisha .


Unashauriwa kutumia vyakula hivyo kwa uchache visiwe kipaumbele sana kwako. Jitahidi kutumia mbogamboga na matunda kwa wingi ili kupunguza hatari ya mlundikano Wa sumu kwa sababu asidi huzuia mwili kutoa sumu/kujisafisha.






Post a Comment

0 Comments