Ticker

6/recent/ticker-posts

FAHAMU HASARA YA VYAKULA VILIVOSINDIKWA (PROCESSED FOODS)



FAHAMU HASARA YA VYAKULA VILIVOSINDIKWA (PROCESSED FOODS)

➡️ Processed Foods

1)Vina Upungufu mkubwa wa nyuzinyuzi


2)Vina Upungufu mkubwa wa omega-3 fatty acid


3)Vimesheheni Mafuta mabaya(trans fats) kwa kiasi kikubwa


4)Vina Upungufu mkubwa wa vitamini


5) Vimesheheni amino acid nyingi mbaya kama zile ambazo zipo kw Wanyama tu(nyama nyekundu)


6)Vina omeg-6 fatty acid kwa wingi ambayo ni hatari kwa afya

7)Vina sukari kwa wingi


8)Vimejaa kemikali nyingi za kutunza hizo bidhaa na si nzuri kwa afya zetu


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Karibu Sana..!!!









Post a Comment

0 Comments