Ticker

6/recent/ticker-posts

HIZI NI BAADHI YA DALILI ZA KUVIMBA KWA TEZI DUME



TEZI DUME

• • • • • •

Hizi ni baadhi ya dalili ambazo ziweza kukuonesha kuwa tezi yako imeanza kuvimba ( kuvimba kwa tezi dume) 

1: kupata shida wakati wa haja ndogo


2: kutiririka kwa mkojo baada ya kumaliza haja ndogo


3:  kujisaidia mkojo wenye mtiririko dhaifu


4: kukojoa mara kwa mara nyakati za usiku na kujikamua wakati wa kujisaidia na kushindwa kumaliza mkojo wote.






Post a Comment

0 Comments