Ticker

6/recent/ticker-posts

KWA MAMA MJAMZITO ZINGATIA MAMBO HAYA MUHIMU



KWA MAMA MJAMZITO ZINGATIA MAMBO HAYA MUHIMU

➡️ Mjamzito

1) KADI LAKO LA KLINIKI:Katika kitu muhimu kwa mama mjamzito anatakiwa awe nacho muda wowote ni kadi la kliniki. Kadi lakliniki lina taarifa muhimu sana kuhusu ujauzito ulio nao. Ikumbukwe kua hali ya ujauzito si hali ya kuabirika na wakati wowote hali inaweza kubadilika na ukahitaji msaada wowote sasa kama huna kadi lako na ukiwa umezidiwa basi itakua ngumu kusaidiwa kiundani kwa maana anaetaka kuchukua hatua atakua hana taarifa zako muhumu za mimba yako. Tafadhali sana ewe mjamzito sahau kubeba simu ila usisahau kadi lako la kliniki.


2)FEFO:unapokua mjamzito kumbuka kwamba mwili unakua katik hali ya Upungufu mkubwa wa kila kitu ikiwemo Upungufu wa dam una madinii chuma,vitu hivi hupungua kutokana na ukweli kwamba kuna viumbe hai Zaidi ya mmoja na wote wanatumia mfumo mmoja kwa ajili ya kuishi,mtoto aliepo tumboni hupata kila kitu kutoka kwa mama mwenye hio mimba na hivo basi kama mama atakua hapati au ana upungufu wa vitu hivo basi mtoto ataadhirka na hata mama kuadhirikika pia.Tumia dawa zote kwa ajili ya uimara wa ujazuzito wako kama ulivoelekezwa kliniki.


3) UZITO:mama mjamzito kua makini sana katika kufuatilia uzito wako. Uzito ni kipimo tosha cha kukuambia kua mtoto anakua au hakui. Mfano kama ulikua na kilo 60 mimba ikiwa na wiki 10 na ukapima tena uzito mimba ikiwa na wiki 20 na kilo bado ziko 60 basi ujue hapo kutakua na shida na ongea na daktarin wako juu ya hili. Vilevile kama unaongezeka uzito kwa kasi sio jambo zuri pia na kama unapata hili zungumza na mtaalam wa afya kwa ushauri pia


4)MAPENZI;kua mjamzito haimanishi unasahau mambo mengine yasiendelee,ndoa hazikwami wakati wa ujauzito na wanaume mke wako kua mjazmzito sio kigez cha kuchepuka,mkeo yupo na endeleeni kudumisha..


.


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Karibu Sana..!!!






Post a Comment

0 Comments