TATIZO LA KUKOSA USINGIZI(INSONOMIA)

USINGIZI

• • • • • •

TATIZO LA KUKOSA USINGIZI(INSONOMIA). 

Mtu mwenye afya bora hupaswa kupata usingizi wa kutosha ili kuweza kukua katika afya bora na yenye kuijenga afya yako. ~Lakini kwa baadhi ya watu suala la kupata usingizi limekuwa ni tatizo la mda mrefu na lenye kuwatesa sana.


Wengi wamekuwa wakikosa usingizi hali inayowafanya kuchelewa sana kuupata lakini baadhi yao huupata usingizi lakini katikati ya usiku au wakati wakiwa wamelala hushtuka na mala washtukapo hukosa usingizi mpaka kuna kucha.


Matatizo haya hutokana na sababu mbalimbali za kiafya..kiakili..kimwili na hata kwa baadhi ya tabia za mhusika mwenyewe.


Zipo sababu mbalimbali ambazo huchangia mtu kukosa usingizi kama vile;


-MSONGO WA MAWAZO/HOFU YA JAMBO FULANI

-MATUMIZI YA MADAWA YA KULEVYA,KAHAWA,NIKOTINI,n.k

-MAZINGIRA MABOVU YA KULALA N.K

Kwa kawaida mtu mwenye afya bora na asiye na matatizo yoyote hupaswa kupata usingizi kwa mda wa masaa  7.5-8.5

kwa kila siku na nj usiku tuu lakini kuna baadhi ya watu hulala mchana na usiku kutolala hali hii kiafya haishauriwi sana kwani hudumaza ubongo na kusababisha msongo wa mawazo


MADHARA YA KUTOPATA USINGIZI

> Kupata msongo wa mawazo na kuwa na hali ya uchovu kila wakati

> Akili kuchoka na kutoweza kufanya kazi kwa ubongo kwa ufanisi mzuri zaidi

>Kupata maumivu ya mwili na pia mwili kuwa na homa za mara kwa mara

>Mwili kupata stress


TIBA

Mara nyingi tiba ya tatizo hili imekuwa ni utumizi wa madawa mbali mbali ya kuleta usingizi ambazo zimetengenezwa kwa kemikali mbalimbali ambazo zimekuwa ni chanzo cha kusababisha magonjwa ya akili na pia matatizo ya ubongo


TIBA LISHE


Kutokana na matatizo ya haya kutopata usingizi wataalamu mbalimbali wamefanya tafiti na kutuletea kirutubisho bora cha asili kilicho katika mfumo wa kidoge ambacho kimekuwa msaada tosha kwa watu wenye matatizo ya;


-MSONGO WA MAWAZO.

-AKILI KUCHOKA NA KUKOSA KUSAHAU MARA KWA MARA.


-KUWA NA HOMA ZISIZO NA CHANZO MAALUMU. -MWILI KUPATA STRESS. 


~Wasiliana nasi kupata msaada zaidi, na pia unaweza kuugana nasi kwenye ukurasa wetu wa Facebook na Instagram pia kupata mfululizo wa mada zetu za afya kila siku kwa ajili ya kuhakikisha unakuwa na afya bora wakati wote.




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!