Ticker

6/recent/ticker-posts

USIDHARAU TENA SPINACHI



SPINACHI

• • • • • •

USIDHARAU TENA SPINACHI


Spinach ni mbogamboga maarufu sana duniani kutokana na uwepo Wa ANT-INFLAMMATORY COMPONENTS  zinazowezesha kuondoa Uvimbe.. mbalimbali kama bawasiri,mapambano ya asidi mfano uric asid kwenye viungo.


Mboga hii inawingi Wa madini ya magnesium kwa wingi yanayosaidia chakula kupita vizuri katika mfumo Wa chakula.


Mboga hii imesheheni nyuzinyuzi nyingi zinazosaida kuwezesha utumbo kujisafisha na kukinga na matatizo mengi kama kutopata choo vizuri, bawasiri n.k


Inafanya vizuri sana katika kuondoa sumu mwilini na kuzuia kasi ya kuzeeka kuliko kawaida


Inasaidia kukinga na kansa mfano ya mapafu


Inasaidia kufanya uponyaji haraka mwilini na kuzuia saratani


Inasaidia mifupa kuwa imara zaidi kutokana na uwepo wa madini ya Calcium, phosphorus


Husaidia kupunguza uzito haraka sana ukichanganya na kitunguu swaumu.


Inasaidia macho kuona vizuri kutokana na uwepo wa vitamin A


Inafanya vizuri ikitumiwa kama juice ila usichuje au ikichemshwa kwa mvuke tu sio kukaanga na mafuta

.

.

Note: Spinach ndio mboga pekee yenye nguvu ukilinganisha na zingine zote, inayofata ni mchicha.

.





Post a Comment

0 Comments