Ticker

6/recent/ticker-posts

NUKUU YA LEO KUHUSU AFYA YAKO(soma hii ni kwa ajili yako..!!)



 AFYA TIPS

• • • • •

NUKUU YA LEO KUHUSU AFYA YAKO(soma hii ni kwa ajili yako..!!)


• Kinga ni bora kuliko Tiba


• Sio kila maumivu  ya kichwa basi ni Malaria,nenda hosptal kachunguzwe afya yako


• Epuka matumizi ya dawa kiholela pasipo maelekezo ya kina kutoka kwa wataalam wa afya


• Kuwa wa kwanza kuchunguza afya yako na kugundua mabadiliko yoyote yanayokupata


• Afya yako ni bora zaidi  kuliko pesa zako,hivo ipe kapaumbele cha kwanza


• Usafi wa mwili na mazingira ni muhum sana kwa afya yako


• Lishe bora ndyo msingi wa afya yako


KWA PAMOJA TUNAWEZA,TUIJENGE AFYA BORA.






Post a Comment

0 Comments