Ticker

6/recent/ticker-posts

TATIZO LA MIGUU KUWAKA MOTO(chanzo na visababishi vyake)



 MIGUU

• • • • •

TATIZO LA MIGUU KUWAKA MOTO(chanzo na visababishi vyake)


Miguu kuwaka moto ni tatizo ambalo huwasumbua watu wengi kwa hivi sasa, huku wengine likianza gafla bila kujua chanzo halisi hasa ni nini.


Hali hii ya miguu kuchoma choma, maumivu, pamoja na kuwaka moto huweza kuhusishwa na uharibifu wa nerves za miguuni ambapo kwa kitaalam tunaita neuropathy.


CHANZO CHA MIGUU KUWAKA MOTO NI NINI?


Zipo sababu mbali mbali ambazo huweza kuongeza uwezekano wa mtu kupata tatizo la miguu kuwaka moto kama vile;


- Mtu kuwa na ukosefu wa kutosha wa vitamins mwilini kama vile; Vitamin B n.k


- Kuwa na tatizo la upungufu wa vichocheo vya thyroid shingoni


- Kuwa na maambukizi ya magonjwa mbali mbali yanayoshusha kinga ya mwili kama Ukimwi n.k


- Kuwa na tatizo la Ugonjwa wa Sukari


- Mtu Kuwa na matitizo ya Figo


- Mtu kuwa na tatizo la Fangasi wa miguuni


- Kuharibika kwa mfumo wa Nerves maeneo ya miguuni


- Kuwa na tatizo la Kansa pamoja na matumizi ya baadhi ya dawa za kutibu tatizo hili


- Matumizi ya pombe kupita kiasi


- Uvutaji wa Sigara


- n.k


MATIBABU YA TATIZO LA MIGUU KUWAKA MOTO


• Matibabu ya tatizo la miguu kuwaka moto hutegemea na chanzo chake, hivo kama una shida hii kutana na wataalam wa afya kwa ajili ya vipimo na msaada zaidi.


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.






Post a Comment

0 Comments