Ticker

6/recent/ticker-posts

VITU VYA KUZINGATIA KWA MGONJWA WA CHEMOTHERAPY



 CHEMOTHERAPY

• • • • •

VITU VYA KUZINGATIA KWA MGONJWA WA CHEMOTHERAPY


Chemotherapy ni huduma ambayo huhusisha matibabu kwa mgonjwa kwa kutumia dawa zenye kemikali ndani yake mfano; Cytotoxic na zingine hasa kwa wagonjwa wa Kansa.


Lengo la kutumia kemikali hizi ni kwa ajili ya kuuwa seli za Kansa mwilini au kuzuia zisiongezeke zaidi kwa Mgonjwa.


VITU VYA KUZINGATIA KWA MGONJWA WA CHEMOTHERAPY


1. Kuna aina mbali mbali za chemotherapy


2. Sio dawa zote  kwenye chemotherapy zinasababisha madhara ya nywele kunyonyoka kwa mgonjwa,


matokeo hutofautiana,zingine huweza kuleta hali ya kichefuchefu,kutapika,kuharisha,mgonjwa kuchoka sana n.k


3. Mgonjwa anatakiwa akianza huduma ya chemotherapy iwe endelevu hivo anatakiwa kurudi mara kwa mara hospital


4. Ni kawaida kwa mgonjwa wa chemotherapy kutokujisikia vizuri mara kwa mara; 


mgonjwa huweza kuchoka sana, mgonjwa kupata hali ya kichefuchefu au kutapika, kuharisha, na baadhi yao nywele kunyonyoka


5. Chemotherapy ni huduma muhimu sana kwa Mgonjwa wa Kansa na inasaidia sana.


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA JUU YA MAGONJWA MENGINE TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.






Post a Comment

0 Comments