Ticker

6/recent/ticker-posts

WATOTO AMBAO WAPO KWENYE HATARI YA KUPOTEZA MAISHA(premature)



 WATOTO

• • • • •

WATOTO AMBAO WAPO KWENYE HATARI YA KUPOTEZA MAISHA(premature)


Moja ya kundi la watoto ambao wapo kwenye hatari ya kufariki baada ya kuzaliwa ni watoto ambao huzaliwa kabla ya wakati yaani kwa kitaalam hujulikana kama Premature baby.


Hapa nazungumzia watoto ambao wanazaliwa chini ya umri wa Wiki 37 za Ujauzito, Mfano; Kuanzia wiki 28-36, hawa wote ni watoto ambao huzaliwa kabla ya wakati yaani Premature.


Tafiti zinaonyesha kwamba, mbali na sababu zingine ambazo husababisha vifo kwa watoto baada ya kuzaliwa kama vile; Maambukizi ya magonjwa mbali mbali au Infections, Watoto kukosa hewa ya Oxygen(Asphyxia) ,


Pia mojawapo ya sababu kubwa ya vifo kwa watoto baada ya kuzaliwa ni Watoto kuzaliwa kabla ya muda wa kuzaliwa yaani Kwa kitaalam Premature baby.


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA JUU YA MAGONJWA MBALI MBALI TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.






Post a Comment

0 Comments