Ticker

6/recent/ticker-posts

BINADAMU HUFIKISHA MENO 32 AKIWA NA UMRI GANI?(idadi ya meno kwa mtu mzima)



 MENO

• • • • •

BINADAMU HUFIKISHA MENO 32 AKIWA NA UMRI GANI?(idadi ya meno kwa mtu mzima)


Kama inavyofahamika kwa watu wengi kwamba, mtu mzima ana idadi ya meno 32, Je idadi hii hukamilika akiwa na umri gani?


Meno ya Mtoto mdogo huisha yote akiwa na umri wa kati ya miaka 12 na 14, Baada ya Hapo ndyo meno yote huwa ni ya kudumu.


Kuanzia hapa meno yote yanayoota kwa binadamu huwa ni ya kudumu, je meno haya hukamilika 32 akiwa na umri gani?


Tafiti zinaonyesha kwamba kwa idadi kubwa ya watu  Meno yote hukamilika 32 wakiwa na umri wa kati ya Miaka 17 na 21.


Japo sio kwa watu wote huwa hivo, Wengine huchelewa zaidi


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.







Post a Comment

0 Comments