Ticker

6/recent/ticker-posts

CHANZO CHA TATIZO LA UPELE KWENYE NDEVU BAADA YA KUNYOA NDEVU(wanaume)



 NDEVU

• • • • •

CHANZO CHA TATIZO LA UPELE KWENYE NDEVU BAADA YA KUNYOA NDEVU


Tatizo la upele kwenye ndevu baada ya kunyoa huwatokea wanaume wengi, na kuna wengine hata wakinyoa nywele za kichwani huota sana mapele hasa kisogoni kwa nyuma chini kidogo karibu na shingo.


CHANZO CHA TATIZO LA UPELE KWENYE NDEVU BAADA YA KUNYOA NDEVU


- Endapo tatizo la kupata upele limetokea kisogoni,husababishwa na Bacteria anayejulikana kwa jina la P.Acnes,


ambapo baada ya mtu kunyoa nywele vitundu ambavyo nywele zilikuwepo huziba na kuzuia nywele nyingine kutokea pale, badala yake hutuna na kuwa upele.


- Vivyo hivo na kwenye mashavu na kidevuni, baada ya mtu kunyoa ndevu, vitundu ambapo ndevu zilikuwepo huziba na kusababisha ndevu mpya kuanza kuotea kwa ndani hali ambayo hupelekea mapele kutokeza kwenye ndevu,


Tatizo hili kwa kitaalam hujulikana kama Pseudofolliculitis Barbae


MATIBABU YA TATIZO HILI


- zipo njia mbali mbali za kutibu tatizo hili kama vile; kuminya upele na kukanda kwa maji ya moto, matumizi ya dawa za kunywa  n.k

Kwa ushauri zaidi,elimu au Tiba Tuwasiliane kwa namba +255758286584.






Post a Comment

0 Comments