Ticker

6/recent/ticker-posts

DAWA AMBAZO HURUHUSIWI KUZICHANGANYA NA POMBE



 DAWA

• • • • •

DAWA AMBAZO HURUHUSIWI KUZICHANGANYA NA POMBE


Hizi hapa ni baadhi ya dawa ambazo huruhusiwi kuzichanganya na pombe;


1. Dawa za kutuliza maumivu kama vile; Ibuprofen, Acetaminophen n.k


2.  Dawa kwa ajili ya afya ya uzazi kwa wanaume mfano; matatizo ya uume kusimama vizuri n.k VIAGRA


3. Dawa za kutibu mafua makali kama; Pseudoephedrine


4. Dawa kama Warfarin


5. Dawa mbali mbali za wagonjwa wa kisukari kama vile; Metformin,Glucotrol n.k


6. Dawa mbali mbali za ugonjwa wa Presha


7. Dawa jamii ya Antibiotics kama vile; METRONIDAZOLE(flagly), Azithromycin n.k


8. Dawa kama Amphetamine


9. Dawa jamii ya Diazepam


10. Dawa jamii ya Lorazepam

n.k


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA JUU YA TATIZO LOLOTE TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.





Post a Comment

0 Comments